Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

Nami Sina budi kujongea kwenye Uzi huu maana Ni muhimu kias chake
 
Wakuu, mimi nauliza:
Barring passwords za Airtel na Halotel.
Pamoja.
 
Forward all voice calls to 100 au namba ambayo haipatikani. hapo utaona sms, ww utaweza kupiga simu. Ila kila anayekupigia ataambiwa hupatikani.
 
Naona imekubali kwenye smartphone pekee, kwenye vitochi imetosa. Nipo hapa nasubiri kusahihishwa.
Ina maana hii wanaokutafuta wote ama baadhi?mie nataka wawili ama watatu hivi wakinipigia wasinipate sio phone book nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…