Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

Jamani mm naombeni msaada cm yangu haipokei cm wala kupiga cm ila sms na internet vina fanya kazi vzur tu... Tatizo cio line maana nimesha jaribu kuweka kwenye cm nyingine inapiga kazi vizuri na pia nikiweka line nyingine kwenye hii cm inafanya ivyo ivyo haipokei cm wala kupiga.. Naombeni msaada cm ni Huawei Y530-U00

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepata ufumbuzi?
 
Huu uzi umesababisha nimefunga simu yangu bila kujua tangu juzi nikipiga simu hazitoki naombeni msaada wakuu.

Nikipiga simu naandikiwa ACM limit exceeded alafu inakata.
Ngoja wakuibie na salio ndio ukome kujaribu jaribu codes usizozijua
 
Kwanini uteseke, mtie block huyo mtu voda au tigo watakusaidi kufikisha ujumbe kuwa hupatikani au uko busy!

Kama utaona haitoshi basi rusha ndege tu. Hold power-off button kisha "Airplane Mode" umemaliza tatizo.
 
Back
Top Bottom