Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbeya city na ihefu na wasi wasi nao katika kushuka daraja.Ongeza nyama mkuu. Timu inaitwa Mbeya kwanza[emoji849][emoji849]?
Mkoa wa mbeya soka lipo. Kama itakuwa imepanda daraja itakuwa ya nne kwenye ligi kuu kama hamna itakayo shuka daraja.
Prison
Mbeya city
Ihefu
Mbeya kwanza.
ihefu watashuka,mbeya city hati hatiOngeza nyama mkuu. Timu inaitwa Mbeya kwanza🙄🙄?
Mkoa wa mbeya soka lipo. Kama itakuwa imepanda daraja itakuwa ya nne kwenye ligi kuu kama hamna itakayo shuka daraja.
Prison
Mbeya city
Ihefu
Mbeya kwanza.
karibia na ruvu jkt?hawa mbeya kwanza kambi wameweka hapa Mlandizi na mazoezi wanafanyia kwenye haya mashamba ya Mpunga kama unatoka Dar Upande wa kuliaa
kwa mbele kuna kiwanja
kifupi wako vzr tuwasubiriii ligi kuu
wapo na Emanuel Gabriel
ukiendelea kwa mbelee ila kuna kadistance kidogooo ndo unatokea uwanja wa Ruvu jktkaribia na ruvu jkt?
Mbeya wanaongeza timu nyingine wakati huo huo kuna timu itashuka.Mbeya Kwanza ilianzishwa na jamaa mmoja wakuitwa Shiraz batchu ...alikuwa afisa masoko wa Coca-Cola Kwanza ....plant ya mbeya ....nayy ndo alikuwa mzamin wa ile timu ...ila kwasasa alirudi daa ....nazan bado anaimiliki na kuihandle ndo mana hata kambi kwasasa ipo hko karibu na dar ....kwasabu jamaa kwasasa hayuko tena .. Coca-Cola ...ila jmaa niwakishua sanaaa
labda mbeya city ila ihefu kama imeanza kuleta nafuuMbeya city na ihefu na wasi wasi nao katika kushuka daraja.
Mbeya city nae jana kampiga namungo kwake.labda mbeya city ila ihefu kama imeanza kuleta nafuu
Kama kawaida manyau Fc mmeanza mchecheto. Mnataka nao muwapime corona,wasicheze 5 muhimu?Imamilikiwa na nanni? Kocha wake nani