Naomba habari kuhusu hii Mbeya kwanza. Iliyopanda ligi kuu.

Naomba habari kuhusu hii Mbeya kwanza. Iliyopanda ligi kuu.

Ongeza nyama mkuu. Timu inaitwa Mbeya kwanza🙄🙄?

Mkoa wa mbeya soka lipo. Kama itakuwa imepanda daraja itakuwa ya nne kwenye ligi kuu kama hamna itakayo shuka daraja.
Prison
Mbeya city
Ihefu
Mbeya kwanza.
ihefu watashuka,mbeya city hati hati
 
hawa mbeya kwanza kambi wameweka hapa Mlandizi na mazoezi wanafanyia kwenye haya mashamba ya Mpunga kama unatoka Dar Upande wa kuliaa
kwa mbele kuna kiwanja
kifupi wako vzr tuwasubiriii ligi kuu
wapo na Emanuel Gabriel
 
karibia na ruvu jkt?
 
karibia na ruvu jkt?
ukiendelea kwa mbelee ila kuna kadistance kidogooo ndo unatokea uwanja wa Ruvu jkt
hawa Mbeya kwanza ukipita jioni saa tisa mpaka kumi ukitazama huo Upande unaona timu inachezaa
baada ya muda huoo huwa wanaawaachia wenye uwanja kuendelea na mazoezi
 
Mbeya Kwanza ilianzishwa na jamaa mmoja wakuitwa Shiraz batchu ...alikuwa afisa masoko wa Coca-Cola Kwanza ....plant ya mbeya ....nayy ndo alikuwa mzamin wa ile timu ...ila kwasasa alirudi daa ....nazan bado anaimiliki na kuihandle ndo mana hata kambi kwasasa ipo hko karibu na dar ....kwasabu jamaa kwasasa hayuko tena .. Coca-Cola ...ila jmaa niwakishua sanaaa
 
Mbeya wanaongeza timu nyingine wakati huo huo kuna timu itashuka.
 
Back
Top Bottom