Naomba idadi ya Wachangiaji hapa Jamiiforums isipungue leo kuanzia Saa 1 Kamili za Usiku

November ya kuvumba upasuke, maisha ni mwendo kuvimba hata kama una shida vimba vimba tuu. Kimya kimya iwe mwendo wa mateka
 
Halafu kuanzia Saa 1 Kamili hiyo ya leo tarehe 5 Novemba, 2023 ukija ( Uki Log In ) hapa Jamiiforums usije na Mihasira yako bali kuwa tu Mvumilivu kwani huo ndiyo Maana na Ukomavu wa Utani wa Jadi.
Mpaka kufikia saa moja, sitarajii kumuona shabiki wa Mikia fc, aki log in JF leo.
Na kama akifanya hivyo leo, basi nategemea kuwaona majukwaa mengine ila sio la sport.
 
Amini nakwambia Yanga hatoboi.....
 
Nasikia viongozi wa gongowazi wanaomba game isogezwe mbele
 
Umeanza kuwatisha ee. Acha wayatimbe kwanza. [emoji23][emoji23]
 
Halafu kuanzia Saa 1 Kamili hiyo ya leo tarehe 5 Novemba, 2023 ukija ( Uki Log In ) hapa Jamiiforums usije na Mihasira yako bali kuwa tu Mvumilivu kwani huo ndiyo Maana na Ukomavu wa Utani wa Jadi.
Pamoja Braza popoma
 
Popoma, ni wakati wako sasa huu wa kuja kuvuna ulichopanda. Wakati unaleta huu uzi wako nikitaka kuchangia, ila nikaona nikupuuze tu.
 
Halafu kuanzia Saa 1 Kamili hiyo ya leo tarehe 5 Novemba, 2023 ukija ( Uki Log In ) hapa Jamiiforums usije na Mihasira yako bali kuwa tu Mvumilivu kwani huo ndiyo Maana na Ukomavu wa Utani wa Jadi.
Sahihi ndugu,dah
 
Back
Top Bottom