Naomba ifanywe kwa dharura: Napendekeza kuanzia Jumamosi iwe ni marufuku mtu kutoka nje ya nyumba yake bila kufunika uso kwa kitambaa/ barakoa/ scarf

Haya sasa barakoa inauzwa TSH1000 na wataalam wanasema uvae 4hrs utupe, Maana yake in 8hrs utavaa 2 kwa gharama ya Tsh2000..Dah nikiwaangalia watanzania inasikitisha sana maana hiyo tsh 2000 ndio hela yenyewe ya kula hapo bado kuna watu inabidi wanunulie watoto nk..Tuombe Mungu sana jamani..
 
So kwa kuwa wewe umenunua kiboksi Cha maski umekosa pa kutumia unaforce serikali ikuwekee mazingira ya kuitumia..HV unahisi hicho kiboksi utakaa nacho kwa muda gani? Umewafikiria wenzako lakn ambao wanatafuta Ela ya kula Sasa wrwe unataka uwaongezee kazi ya kutafuta Ela ya mask!
Umesoma uzi wangu au umesoma heading tu?
 
Mbna maambukizi siyo mengi? Tunafichwa nn?
Katikati ya April ndio tunategemea mlipuko wa kutisha sana! Hivyo kuepuka kuambukizana kwa chafya na kukohoa ni lazima tufunike pua na mdomo walau hata kwa kitambaa au Scarf, maana barakoa ni ngumu kuzipata
 
Haya sasa barakoa inauzwa TSH1000 na wataalam wanasema uvae 4hrs utupe, Maana yake in 8hrs utavaa 2 kwa gharama ya Tsh2000..Dah nikiwaangalia watanzania inasikitisha sana maana hiyo tsh 2000 ndio hela yenyewe ya kula hapo bado kuna watu inabidi wanunulie watoto nk..Tuombe Mungu sana jamani..
Nimesema Scarf au kitambaa cha kawaida, na barakoa ni kwa mwenye uwezo wa kupata au kununua, umesoma uzi?
 
Mkuu unaelewa kuwa scarf au kitambaa unachosema hakina uwezo wa kukukinga na maambukizi kwa angalau asilimia 2?. Kuna barakoa N95 nafikiri ndo zina uwezo wa kukukinga kwa zaidi ya asilimia 90, kwa hiyo ni bora uwaelekeze wadau ni wapi zinapogawiwa hizo barakoa.
 
Hivi umesoma uzi? Nimesema Scarf, vitambaa na barakoa si kwa ajili ya kujilinda wewe unaevaa, kwani macho hubaki wazi na bado unaweza kupata kupitia macho, nimesema hatua hii ni kwa ajili ya kuwalinda wanaokuzunguka, ili pale unapopoga chafya au kukohoa vile virusi visiende mbali sana na kuambukiza wengine, pia itasaidia wale wenye tabia ya kuchokonoa pua ili wasifanye hivyo, kila mtu akivaa kwa lazima inamaana wote tunakuwa tunalindana tusiambukizanr kwa kasi, kwani akili zako huwa unaziacha wapi kabla ya kuja jukwaani?
 
Wewe ndo kiazi kabisa, yaani watu wavae vitu visivyokuwa na msaada wowote, sidhani kama una uelewa wa hiki unachokiongea hapa
 
Kuna nchi zimepimwa hizo masks zimekutwa na corona,sasa Marekani,yemen,england wanasisitiza kujitengenezea masks zao wenyewe... hii vita ni mbaya sana,hata tukipita hapa maisha huko mbele yatabadilika sana
 
Kumbe najadiliana na taahira? Kulindana ili tusiambukizane we unaona huo sio msaada wowote?
 
Kuna nchi zimepimwa hizo masks zimekutwa na corona,sasa Marekani,yemen,england wanasisitiza kujitengenezea masks zao wenyewe... hii vita ni mbaya sana,hata tukipita hapa maisha huko mbele yatabadilika sana
Ndio maana nimependekeza kipaumbele kiwe kwa scarf na vitambaa
 
Upo kwenye kikao na familia yako au😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Maana sio kwa maamri hayo😎😎😎
 
So kwa kuwa wewe umenunua kiboksi Cha maski umekosa pa kutumia unaforce serikali ikuwekee mazingira ya kuitumia.

Hivi unahisi hicho kiboksi utakaa nacho kwa muda gani? Umewafikiria wenzako lakn ambao wanatafuta Ela ya kula Sasa wrwe unataka uwaongezee kazi ya kutafuta hela ya mask!
ni kwel kabisa isee kuna wengin tukiamka ndo tunatafut hela ya kul hiyo cku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom