samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,223
Haya sasa barakoa inauzwa TSH1000 na wataalam wanasema uvae 4hrs utupe, Maana yake in 8hrs utavaa 2 kwa gharama ya Tsh2000..Dah nikiwaangalia watanzania inasikitisha sana maana hiyo tsh 2000 ndio hela yenyewe ya kula hapo bado kuna watu inabidi wanunulie watoto nk..Tuombe Mungu sana jamani..