Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Derby ni mechi yoyote inayokutanisha timu zinazotokea katika sehemu mojaWatangazaji wengi nasikia wakisema Derby ya Simba na Azam au Yanga na Azam. Acheni ubabaishaji, timu ya Azam ya mwaka wa 2000's ijenge Derby na timu za 1930's? ni dharau na uwelewa mfupi wa watangazaji.
Hamna lolote. Mbona tusisikie wakiikuza Derby ya kmc na Yanga au Kmc na Simba?. Mnaikuza hiyo timu lakini hamna kituDerby ni mechi yoyote inayokutanisha timu zinazotokea katika sehemu moja
Simba
Yanga
Azam
Kmc
Zinapocheza hizo kwa Sasa zinatengeneza derby ya Dar es salaam .Simba na Yanga zinatengeneza derby ya karibu kabisa inayoitwa kariakoo derby kwakua ni kitongoji kimoja.
Barcelona vs Madrid sio derby Bali imepewa Jina eliclassico kwakua hawatokei mji mmoja
Barcer vs Español
Madrid vs ATM
Mfano London derby inajumuisha zinapokutana
Arsenal
Spurs
Westham
Fulham
Chelsea
Brentford
Haipati promo tuu ila nayo ni derbyHamna lolote. Mbona tusisikie wakiikuza Derby ya kmc na Yanga au Kmc na Simba?. Mnaikuza hiyo timu lakini hamna kitu
Liverpool vs man uTaja Derby ambayo haihusishi timu zinazotoka eneo moja.
Yanga na Kagera Rangers nayo utaita Derby? Wacha hizo Dar es Salaam hii Derby ni Simba na Yanga tu kataa kubali.Derby ni mechi yoyote inayokutanisha timu zinazotokea katika sehemu moja
Simba
Yanga
Azam
Kmc
Zinapocheza hizo kwa Sasa zinatengeneza derby ya Dar es salaam .Simba na Yanga zinatengeneza derby ya karibu kabisa inayoitwa kariakoo derby kwakua ni kitongoji kimoja.
Barcelona vs Madrid sio derby Bali imepewa Jina eliclassico kwakua hawatokei mji mmoja
Barcer vs Español
Madrid vs ATM
Mfano London derby inajumuisha zinapokutana
Arsenal
Spurs
Westham
Fulham
Chelsea
Brentford
Hamna derby hapo kijana.
Ikipanda na kuwa ligikuu itakua derby kwa maana ya neno derbyYanga na Kagera Rangers nayo utaita Derby? Wacha hizo Dar es Salaam hii Derby ni Simba na Yanga tu kataa kubali.
Naona kila mtu ana tafsiri yake ya derby.Watangazaji wengi nasikia wakisema Derby ya Simba na Azam au Yanga na Azam. Acheni ubabaishaji, timu ya Azam ya mwaka wa 2000's ijenge Derby na timu za 1930's? ni dharau na uwelewa mfupi wa watangazaji.
Acha uongo. Toka lini hizo mechi zikawa ni derby?
Liverpool vs Manchester united (North-west) derbyTaja Derby ambayo haihusishi timu zinazotoka eneo moja.
We bado mchanga kwenye mpira hakuna derby kubwa England kama man u vs LiverpoolAcha uongo. Toka lini hizo mechi zikawa ni derby?
We bado mchanga kwenye mpira hakuna derby kubwa England kama man u vs Liverpool
Hawa jamaa wana uhasama hasa
Wachezaji hawauziani ile mechi ni nusu vita
El classico sio derby ?
Sent using Jamii Forums mobile app
The most competitive matches in the Premier League are often 'Derby' matches. A 'derby' is a match between local rivals. i.e. teams that are from the same city or the same part of the country. These local games have a special place in the hearts of fans and players.Liverpool vs Manchester united (North-west) derby