Naomba itambulike Derby iliyopo Tanzania ni kati ya Simba na Yanga tu

Naomba itambulike Derby iliyopo Tanzania ni kati ya Simba na Yanga tu

Derby ni mechi zinazokutanisha timu zinazotokq eneo moja.


Alafu kuna Mechi zinazovuta hisia za watu kwa sababu ya UHASAMA uliopo baina ya timu mbili, mfano Manchester united vs Liverpool sio Derby ila ni timu zenye uhasama since kitambo kuzifikia rekodi zao za makombe ya ligi kuu {liver 21, Man u 20{kama sijakosea}.
Derby zinazo husisha Manchester united ni
Manchester united Vs Manchester City
Manchester united vs Leeds

Na derby ya liver ni dhidi ya Everton

Real madrid Vs Barcelona sio derby pia ila ni mechi yenye uhasama na visa kihistoria baina ya timu hizo mbili toka enzi za Mfalme.
Derby zinazo husisha team ya madrid ni
Real vs Atletico madrid
Real Vs Getafe

Barcelona derby zake ni
Barcelona Vs Girona
Barcelona vs Espanyol

Dortmund vs Bayern Sio derby pia ila ni mechi yenye uhasama mkubwaa mnoooooooooooo

Kwahiyo tusifhanganye kati ya mechi za Uhasama na Derby zinazokutanisha Washindani wa mji mmoja.
Asante kwa shule hii
 
Back
Top Bottom