Naomba iwepo JF party kabla ya Septemba 30, 2024

Uongozi wa JF,

Tunaomba kabla ya Sept 30, 2024 tuwe na JF party sehemu tu ya kawaida tupeane mawaidha.

Kwa wale madada tutafurahi kuwaona badala ya kutiana moyo inbox.

Ahsante, nawasilisha.
Mambo ya kitoto hayo.
 
Chai
 
Mimi naunga mkono jambo hili 😎 ila naona nyie mnaoishi Daslamu ndio mtakuwa wahusika hvy sisi wa mikoani tutatengwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…