Naomba iwepo JF party kabla ya Septemba 30, 2024

Naomba iwepo JF party kabla ya Septemba 30, 2024

Tayana emu niache kuna issue nafanya pm, hizo swimming costume zinataka body iliyonyooka ujue vikamba kamba vikipita maji yenyewe yanaruka sasa vibongisa si vitazama [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe unajibizana na kina dada kiboga utawawaeza mahi? Hapo wana stress wana kazi ya kubadili id kila muda kuja kujisemesha.
Hapo wanaumia wanajifanya wameni ignore pembeni wananifatilia [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
Nishawaambia mimi ndio oksijeni yao humu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Muache huyo kashachimbwa biti na shangazi bongisa hapo anaogopa kuja huku. [emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu kumbe shangazi kapita kimeuma kaenda kujiliza hiiiiiii nchumba chitaki uongee na labella ananiponda [emoji81][emoji81][emoji81]
Na mibonge ikiwa inalia sasa, km simtank la litre 10,000 linavyomwaga maji [emoji1787]

Oyaaaa bff niache
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
unajua kjuana kuna faiada nyingi kulioo hasara
Wapo Wafanyabiashara humu
wapo wamakazini serikalin nk
Wapo wezi wamtandaon
wapo wapiga betting humuhumu
Wapo wanaotafuta ndoa kuolewa ama kuoa
wapo wanaosubiri miujiza ya kuolewa amakuoa

yaan tukikutana mainly n kupeana connection ukiona halalali si halali juuyako ilimradi watu kadhaa tunawatoa amakutoana kwenye sehemu flan ya maisha kwenda sehemu nyingine bora zaidi......

unahisi wale wa ntumie 700000 kwenda no ,wamohumu na wana win so tukishare juzi wanafankkiwaje tunasogeza sikuzakishiiiiiii

bilakusaahauùumzeedidybtakuwanamistariyanguukamakawaidaaaausiponielewaaawesongambeletundiomaishahetukidogokiingiemdomooniielsenawatakiausikumwemaaaaaa
 
Back
Top Bottom