Naomba iwepo JF party kabla ya Septemba 30, 2024

Twitter wapo serious sana, by the way watu hawaogopi kujulikana Kwa sababu ya serikali...wanaogopa kujulikana Kwa sababu ya wanayoyasema humu unaweza Kuta mtu kutwa kuikosoa IST lkn uhalisia anabambia/ anabambiwa kwenye mwendokasi
Nimeipenda hii
 
Wazo zuri sanaaa!! Una hoja usikilizwee!!
 
Uongozi wa JF,

Tunaomba kabla ya Sept 30, 2024 tuwe na JF party sehemu tu ya kawaida tupeane mawaidha.

Kwa wale madada tutafurahi kuwaona badala ya kutiana moyo inbox.

Ahsante, nawasilisha.
Huyu ndio kondooo anaeelekea kupotea haya sasa subiri wajibu wahusika😃😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…