Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Hata kama hutaki nije ndo uniite "totoo" anyway kama party itakuepo Kwel lazima nije nikuone aunty dedeTotoo uje kwenye pati nikuone.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama hutaki nije ndo uniite "totoo" anyway kama party itakuepo Kwel lazima nije nikuone aunty dedeTotoo uje kwenye pati nikuone.
Mweeeeh! Dede ndio nini?Hata kama hutaki nije ndo uniite "totoo" anyway kama party itakuepo Kwel lazima nije nikuone aunty dede
Siku nyingine ukiona jambo linakuchanganya 'gugu' ipo pale kukusaidiaMweeeeh! Dede ndio nini?
Usisahau kuleta ulanziVinywaji juu yangu
Nimeipenda hiiTwitter wapo serious sana, by the way watu hawaogopi kujulikana Kwa sababu ya serikali...wanaogopa kujulikana Kwa sababu ya wanayoyasema humu unaweza Kuta mtu kutwa kuikosoa IST lkn uhalisia anabambia/ anabambiwa kwenye mwendokasi
Ndyoooo!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eeh [emoji23]
Ndiwoooo ndiwoooo!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Mambo ya brand au sio
Vinatekenya 😹Hv vile vikamba vinavyopita huko backbencher huwa haziwakeri!
Wazo zuri sanaaa!! Una hoja usikilizwee!!Viwanja vya TTCL na Postal grounds Kijitonyama viko poa sana! Ningependekeza waite wafanyabiashara mbalimbali waje kutangaza brands zao... Kuwe na vinywaji, Vyakula na njonjo zingine kibao! Kama vipi liandaliwe bonanza maalum la soka lipigwe pale na michezo mingine kama kikapu, mpira wa pete, Tennis na kadhalika, mapema asubuhi kabla ya yote kuwe na jogging kwa ajili ya kupiga vita magonjwa yasioambukiza.... Usiku upigwe mziki mpaka majogoo ikiwezekana na tuite kama wasanii wawili watatu hivi ambao tutaweza kuwamudu
Maxence Melo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣Siku nyingine ukiona jambo linakuchanganya 'gugu' ipo pale kukusaidia
Mi mvivu wa kuandika🤣🤣🤣🤣
Aah we!! Why nihangaike na gugu na wewe upo?
Nimesuggest tufanye beach, andaa nguo ya kuogeleaItafanyika wapi party
Sawa nakusoma point 5 mwenyewe 😅We kaa kijanja jumamosi utanielewa 😅
Nataka kwenye said Arabia hivi kule ni hijabu tu? 😅😅Ndiwoooo ndiwoooo!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo hapa umeongea?Mi mvivu wa kuandika
Huyu ndio kondooo anaeelekea kupotea haya sasa subiri wajibu wahusika😃😃Uongozi wa JF,
Tunaomba kabla ya Sept 30, 2024 tuwe na JF party sehemu tu ya kawaida tupeane mawaidha.
Kwa wale madada tutafurahi kuwaona badala ya kutiana moyo inbox.
Ahsante, nawasilisha.