DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Tulio onana nae tunawaangalia tu tunachekaπ€£π€£
π€£π€£π€£Iwapo Wazee tutapata upendeleo maalumu wa kuwekewa Seat kwaajili yetu nitakuja
Vyema Wazee tukae sehemu yetu ili kukumbushana mambo ya Mwaka 47 π
""Kwa wale madada tutafurahi kuwaona badala ya kutiana moyo inbox.""Lengo ni nini?
ππππππππππ πππTulip onana nae tinawaangalia tu tunachekaπ€£π€£
Napokea cheo hicho lakin kwa shart, sitaki micha go ya mashoga na ma khanithi. SitapokeaMichango tumeanza kutoa Kwa no 0752647882
Jina Nikifa MkeWangu Asiolewe
Watu wanazidi kutoa michango.
KUMBUKAπarty hii itawahusu tu wale watakao toa michango Yao karibu wewe dada na kaka mjomba na shangazi
Muhadhini wetu ni FaizaFixy
Sawa muhadhini wetu.Napokea cheo hicho lakin kwa shart, sitaki micha go ya mashoga na ma khanithi. Sitapokea
Enjoyππππππππππ πππ
π€£π€£π€£π€£π€£πNapokea cheo hicho lakin kwa shart, sitaki micha go ya mashoga na ma khanithi. Sitapokea
Miss uAnasema eti kwenye hii party hataki kukuona hv Ana uhakika na asemalo kweli eti Analyse
Miss you more dearMiss u
Nanyi Wajukuu mkitaka tuwahadithie mambo ya Mwaka 47 mnaruhusiwa kusogea tulipo Wazee π π€π€£π€£π€£
Tayana emu niache kuna issue nafanya pm, hizo swimming costume zinataka body iliyonyooka ujue vikamba kamba vikipita maji yenyewe yanaruka sasa vibongisa si vitazama πππ
πDearMiss you more dear
How's you
Wewe unajibizana na kina dada kiboga utawawaeza mahi? Hapo wana stress wana kazi ya kubadili id kila muda kuja kujisemesha.Laiti mngejua kuwa ni mdada ,duh
Kwakweli π€£π€£πWewe unajibizana na kina dada kiboga utawawaeza mahi? Hapo wana stress wana kazi ya kubadili id kila muda kuja kujisemesha.
Hapo wanaumia wanajifanya wameni ignore pembeni wananifatilia πΉπΉπΉπΉ
Nishawaambia mimi ndio oksijeni yao humu
π€£π€£π€£Tayana emu niache kuna issue nafanya pm, hizo swimming costume zinataka body iliyonyooka ujue vikamba kamba vikipita maji yenyewe yanaruka sasa vibongisa si vitazama πππ