Naomba iwepo JF party kabla ya Septemba 30, 2024

Tayana emu niache kuna issue nafanya pm, hizo swimming costume zinataka body iliyonyooka ujue vikamba kamba vikipita maji yenyewe yanaruka sasa vibongisa si vitazama [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
unajua kjuana kuna faiada nyingi kulioo hasara
Wapo Wafanyabiashara humu
wapo wamakazini serikalin nk
Wapo wezi wamtandaon
wapo wapiga betting humuhumu
Wapo wanaotafuta ndoa kuolewa ama kuoa
wapo wanaosubiri miujiza ya kuolewa amakuoa

yaan tukikutana mainly n kupeana connection ukiona halalali si halali juuyako ilimradi watu kadhaa tunawatoa amakutoana kwenye sehemu flan ya maisha kwenda sehemu nyingine bora zaidi......

unahisi wale wa ntumie 700000 kwenda no ,wamohumu na wana win so tukishare juzi wanafankkiwaje tunasogeza sikuzakishiiiiiii

bilakusaahauùumzeedidybtakuwanamistariyanguukamakawaidaaaausiponielewaaawesongambeletundiomaishahetukidogokiingiemdomooniielsenawatakiausikumwemaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…