Naomba iwepo JF party kabla ya Septemba 30, 2024

Naomba iwepo JF party kabla ya Septemba 30, 2024

Uongozi wa JF,

Tunaomba kabla ya Sept 30, 2024 tuwe na JF party sehemu tu ya kawaida tupeane mawaidha.

Kwa wale madada tutafurahi kuwaona badala ya kutiana moyo inbox.

Ahsante, nawasilisha.
Binafsi sikubaliani na hilo,hii ifanyije kipindi ambacho sii kuelekea chaguzi,vinginevyo wale wanyama wanadoa doa wataongezeka sana kwani utakuwa ni msimu usio kuwa wanjaa kwao.🤗
 
Back
Top Bottom