peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Hiyo party tutakuwa na utambulisho !
Nitashukuru kuonana na Choice variable live😂
Nitashukuru kuonana na Choice variable live😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lets meet Biden na Putin tujadiliane juu ya kumaliza mgogoro wa Ukraine mkuu😄😃😃😃🙌
Tujuane😃Lengo ni nini?
Ukija Dar utaelewa🤣🤣🤣Kushandua ndio nini?
Hahahaa. LolLengo ni nini?
Si amesema tupeane mawaidha. Hutaki nikupe mawaidha?Lengo ni nini?
Akina Lamomy haoWale walikuwa wanajifanya wanawake kumbe ni wanaume fursa yenu hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora umenisaidia dyadyaa!!!Ukija Dar utaelewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ikiwepo tafadhali Galacha Mimi GENTAMYCINE nitumiwe kabisa Flight Ticket yangu ya To and From Kampala Uganda.Uongozi wa JF,
Tunaomba kabla ya Sept 30, 2024 tuwe na JF party sehemu tu ya kawaida tupeane mawaidha.
Kwa wale madada tutafurahi kuwaona badala ya kutiana moyo inbox.
Ahsante, nawasilisha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uongozi wa JF,
Tunaomba kabla ya Sept 30, 2024 tuwe na JF party sehemu tu ya kawaida tupeane mawaidha.
Kwa wale madada tutafurahi kuwaona badala ya kutiana moyo inbox.
Ahsante, nawasilisha.
Binafsi sikubaliani na hilo,hii ifanyije kipindi ambacho sii kuelekea chaguzi,vinginevyo wale wanyama wanadoa doa wataongezeka sana kwani utakuwa ni msimu usio kuwa wanjaa kwao.🤗Uongozi wa JF,
Tunaomba kabla ya Sept 30, 2024 tuwe na JF party sehemu tu ya kawaida tupeane mawaidha.
Kwa wale madada tutafurahi kuwaona badala ya kutiana moyo inbox.
Ahsante, nawasilisha.
Kuona midume inayochat kama mijike, kuona njemba moja inayochat na ID 11 kama watu tofauti ila kubwa na la muhimu zaidi kuona matajiri wa JF wakija kwa uhalisia wao wa ukapuku.Lengo ni nini?