Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
Hapana mkuu sio Escape from Sobibo coz sidhani kama ni ya Vita japo Ina action ndani yake.Aaaah hiyo muvi inaitwa escape from sobibo
Mbona hamna movie ya namna hiyo mkuu.Kama staa anaokoa kibahati bahati, basi itakuwa inaitwa Capybara
Sio hiyo mkuu.Kamastura
Fanya namna mkuu.Tumekuacha uteseke mkuu.
Hakuna movie yenye jina kama hilo mkuu.Kamastura
IpoHakuna movie yenye jina kama hilo mkuu.
Nime-search sijaona movie kama hiyo mkuu. Kamastura...? Au Kamasutra...?
Inawezekana mkuu unaweza kukumbuka ni ya mwaka gani mkuu...?Inaitwa escape ana watoto wawili wakike na wa kiume kuna rebel walifanya mapinduzi umo alipoenda uyu mzungu
Ya 2015Inawezekana mkuu unaweza kukumbuka ni ya mwaka gani mkuu...?
Yes nakumbuka kuna neno Escape mkuu. Unaweza kukumbuka ni ya mwaka gani coz niki-search zinakuja movies nyingi nashindwa kujua movie husika mkuu. Help please...!Inaitwa No escape
Exactly mkuu...!1. Stairring ni mzungu mwanaume
2. Walienda thailand kwenye vaccation yeye na familia yake mke pamoja na watoto wawili wakike
3. Kukatokea machafuko pale ambapo kikundi cha wathailand waasi ambao hawataki watalii au watu wa mataifa mengine kwenye nchi yao walipoanza kuuwa watalii wote .
4. Jamaa aliponea chupu chupu na familia yake baada ya kuingia border ya vietnam
Ndo hiyo muvi?
Yule mzungu wamecheza Kule taipeiInaitwa escape ana watoto wawili wakike na wa kiume kuna rebel walifanya mapinduzi umo alipoenda uyu mzungu