Naomba jina la hii Movie wadau

Naomba jina la hii Movie wadau

1. Stairring ni mzungu mwanaume
2. Walienda thailand kwenye vaccation yeye na familia yake mke pamoja na watoto wawili wakike
3. Kukatokea machafuko pale ambapo kikundi cha wathailand waasi ambao hawataki watalii au watu wa mataifa mengine kwenye nchi yao walipoanza kuuwa watalii wote .
4. Jamaa aliponea chupu chupu na familia yake baada ya kuingia border ya vietnam



Ndo hiyo muvi?
Hiyo movie ni ya 2015 inaitwa No Escape.
 
No Escape: 2015?
 

Attachments

  • p11132509_p_v8_ar.jpg
    p11132509_p_v8_ar.jpg
    202.9 KB · Views: 3
Heshima kwenu nyote.

Kuna movie moja ya Kizungu niliwahi kuona jina lake humu ndani ila ni miaka zaidi ya mitatu nyuma nimesahau jina.

Hiyo movie Starring hajui kupigana, yupo na mke wake na watoto na anawaokoa kwenye matukio kibahati bahati tu ila ni movie flani nzuri tu.

Mwenye kufahamu jina la hiyo movie naomba atutajie hapa wadau.

Natanguliza shukran kwenu.
View attachment 3167940
Mbona hapo kuna jina kama ndo uliikusudia " No Escpe'
 
Back
Top Bottom