Naomba jina la hii Movie wadau

Naomba jina la hii Movie wadau

Heshima kwenu nyote.

Kuna movie moja ya Kizungu niliwahi kuona jina lake humu ndani ila ni miaka zaidi ya mitatu nyuma nimesahau jina.

Hiyo movie Starring hajui kupigana, yupo na mke wake na watoto na anawaokoa kwenye matukio kibahati bahati tu ila ni movie flani nzuri tu.

Mwenye kufahamu jina la hiyo movie naomba atutajie hapa wadau.

Natanguliza shukran kwenu.
View attachment 3167940
Inaitwa No escape
 
Back
Top Bottom