Naomba jina zuri Kwa ajili ya mbwa wangu

Usinikumbushe mambo ya kumuamini mbwa kulinda.
Nilikuwa na dume mkubwa.
Bajeti ya nyama kila siku.
Chanjo anapata kama kawaida.
Siku moja naamka asubuhi nakuta wahuni wameiba betri kwenye gari langu.Hii ilikuwa mara ya tatu naibiwa.Yaani waliruka ukuta wa fence na kuingia ndani 😳
Naamuangalia mbwa namuona anatoa mimacho tu.😳😳
Aisee,jioni nilimbeba kwenye gari nikaenda kumuacha nje ya mji kijijini.Sijawahi kumuona tena.
Nikafunga electric fence wizi ukakoma.
 
Pole
 
Mbwa mpe chakula ashibe
Ukimwacha na njaa, wezi Huwa wanawapa minofu ya nyama na kuwadanganya ivo kupata uhuru wa kuiba vyema
Wape mbwa washibe
 
Usinikumbushe mambo ya kumuamini mbwa kulinda.
Nilikuwa na dume mkubwa.
Bajeti ya nyama kila siku.
Chanjo anapata kama kawaida.
Siku moja naamka asubuhi nakuta wahuni wameiba betri kwenye gari langu.Hii ilikuwa mara ya tatu naibiwa.Yaani waliruka ukuta wa fence na kuingia ndani 😳
Naamuangalia mbwa namuona anatoa mimacho tu.😳😳
Aisee,jioni nilimbeba kwenye gari nikaenda kumuacha nje ya mji kijijini.Sijawahi kumuona tena.
Nikafunga electric fence wizi ukakoma.
Una kiwango kikubwa cha ukatili uliokithiri kaka ,nadhani haukumpa mafunzo mazuri ya ulinzi na pia kuna muda wanakuwa wanachoka maana utakuta kila kitu yeye .

Mara nguo nje alinde yeye ,betri kwenye gari alinde yeye hapo bado gari wasiibe taa ,wewe majukumu hayo yote ungeweza kwa mshahara wa hizi nyama za bongo bila msosi maalumu kaka ?
 
Back
Top Bottom