Naomba jina zuri Kwa ajili ya mbwa wangu

Naomba jina zuri Kwa ajili ya mbwa wangu

Leo nimenunua mbwa Kwa ajili ya ulinzi nyumbani

Mbwa ni mlinzi mwaminifu
Mbwa sio kama binadamu kwamba ana usaliti

Naomba jina zuri Kwa ajili ya jibwa langu

🐅 Tiger

Tulikua na mwa mmoja hatari tulikua tunawapa dawa za kubwa wakali

Unachukua gamba la kakakuona unachanganya na UNGA WA kwenye gome la MTI WA NTALALI/ SUNGWI
 
Tafuta vet awachome ivermectin injection na multivitamin watakaa poa sana
 
Una kiwango kikubwa cha ukatili uliokithiri kaka ,nadhani haukumpa mafunzo mazuri ya ulinzi na pia kuna muda wanakuwa wanachoka maana utakuta kila kitu yeye .

Mara nguo nje alinde yeye ,betri kwenye gari alinde yeye hapo bado gari wasiibe taa ,wewe majukumu hayo yote ungeweza kwa mshahara wa hizi nyama za bongo bila msosi maalumu kaka ?
Kila siku nyama mara moja moja angempa na bia nayeye anataman
 
Back
Top Bottom