Naomba jina zuri Kwa ajili ya mbwa wangu

Leo nimenunua mbwa Kwa ajili ya ulinzi nyumbani

Mbwa ni mlinzi mwaminifu
Mbwa sio kama binadamu kwamba ana usaliti

Naomba jina zuri Kwa ajili ya jibwa langu

🐅 Tiger

Tulikua na mwa mmoja hatari tulikua tunawapa dawa za kubwa wakali

Unachukua gamba la kakakuona unachanganya na UNGA WA kwenye gome la MTI WA NTALALI/ SUNGWI
 
Tafuta vet awachome ivermectin injection na multivitamin watakaa poa sana
 
Kila siku nyama mara moja moja angempa na bia nayeye anataman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…