Naomba kueleimishwa kuhusu mimba ya huyu mke wangu

Mr Fan

Member
Joined
Sep 21, 2019
Posts
74
Reaction score
133
Nina mwanamke wangu mara ya mwisho kuingia hedhi ilikua tarehe 20 august 2024 na tulisex tarehe 31 august na tarehe 1 september ila tarehe za kujifungua naona zmepitiliza zile siku 280 lakini mpka leo tarehe 8 june 2025 bado anayomimba au mm calculation zangu sijapiga vzur naona tarehe zimepitiliza
 
Kama ni mimba ya kwanza kuna tatizo ila kama sio ya kwanza ni kawaida
 
Kamuone daktari sio JF, mimba ni serious issue
Mpka naongea na ww yuko hospitali ila cha ajabu madaktari wamepima ultra sound wanasema ndo week ya 41 inaishia ila kwa hesabu zangu naona imefika week ya 42 ndo inaishia
 
duh! Hii Hali ya kua na wasiwasi na Mimba Tena kwa mkeo ni mbaya sana, mbaya Mno

I hope itakua Yako mkuu
Kua yangu ni uhakika yangu ila kinachonipa hofu ni calculation za madaktari na ukweli tunaoujua sisi na je ikitokea siku zikapitiliza hadi week ya 43 na wao walitwambia mwisho ni week ya 42 watamfanyia upasuaji ikipita sababu ndo hua hatari ikizidi hapo
 
Aisee, tuliza akili, kua mvumilivu.

Subiri dogo azaliwe upige hesabu zako, kwa sasa zitunze.

Kama sio wako mpaka anajifungua basi ni wazi utajua ushajua kila kitu mkuu.
Kwa sasa usimstress muache ajifungue salama.
 
Tarehe za mimba kuingia zinasadifu ni yako kulingana na mzunguko wake, mlisex siku ya hatari.

Pia, huwa ni kawaida wanawake kupitiliza siku za kujifingua. Kulingana na hesabu, leo ni wiki ya 41 na siku 5, almost wiki 42. Ambapo huwa kawaida, mimba huwa zinaenda mpaka wiki ya 42.

Screenshot_20250608_152917_Chrome.jpg
 
Kua yangu ni uhakika yangu ila kinachonipa hofu ni calculation za madaktari na ukweli tunaoujua sisi na je ikitokea siku zikapitiliza hadi week ya 43 na wao walitwambia mwisho ni week ya 42 watamfanyia upasuaji ikipita sababu ndo hua hatari ikizidi hapo
Jaribu madaktari sehemu nyingine kuhakikisha wanachokuambia, usiwaamini sana madaktari wa bongo niliwahi kuwa diagnosed na ugonjwa ambao sikua nao tena kwa vipimo vya lab, nilipoenda kwa daktari mwingine kila kitu kilikuwa tofauti, moto niliompelekea hatanisahau
 
Nina mwanamke wangu mara ya mwisho kuingia hedhi ilikua tarehe 20 august 2024 na tulisex tarehe 31 august na tarehe 1 september ila tarehe za kujifungua naona zmepitiliza zile siku 280 lakini mpka leo tarehe 8 june 2025 bado anayomimba au mm calculation zangu sijapiga vzur naona tarehe zimepitiliza
Mtoto atazaliwa ana nywele,andaa mkasi! Kawaida hii mkuu
 
Kua yangu ni uhakika yangu ila kinachonipa hofu ni calculation za madaktari na ukweli tunaoujua sisi na je ikitokea siku zikapitiliza hadi week ya 43 na wao walitwambia mwisho ni week ya 42 watamfanyia upasuaji ikipita sababu ndo hua hatari ikizidi hapo

Ukweli unaujua wewe na nani? Ukweli anaujua mkeo tu, na Utaalam wa Daktari, fool
 
Back
Top Bottom