Naomba kueleimishwa kuhusu mimba ya huyu mke wangu

Naomba kueleimishwa kuhusu mimba ya huyu mke wangu

Kama ya kwanza kawaida ni wiki 38 kwa 39 hasifiki 40.......huyu kapata mimba mwezi ulio fuata chunguza zaidi mkuu hao watu hawana huruma.
Mtoa mada anasoma hii post kwa machungu makubwa mno
 
Mpka naongea na ww yuko hospitali ila cha ajabu madaktari wamepima ultra sound wanasema ndo week ya 41 inaishia ila kwa hesabu zangu naona imefika week ya 42 ndo inaishia
Hapana ni week 41 na siku tano kwa leo tarehe 09/06
 
Hiyo mimba ikiwa ni ya kwanza piga hesabu zako vizuri mkuu utapata jibu sahihi
 
Hapana hesabu ziko sawa, kma mimba iko na week 41, na anaweza jifungua mpka week ya 42
Mkuu hamna Mimba ya kwanza ya wiki 42 uliza dakitari yoyote wa masuala ya wanawake sio kiladakitari analijua mkuu........huyu labda ana mtoto ila kamficha mmewe au kapata mimba mwezi uliofuatia.
 
Back
Top Bottom