Kama ni mimba ya kwanza kuna tatizo ila kama sio ya kwanza ni kawaidaNina mwanamke wangu mara ya mwisho kuingia hedhi ilikua tarehe 20 august 2024 na tulisex tarehe 31 august na tarehe 1 september ila tarehe za kujifungua naona zmepitiliza zile siku 280 lakini mpka leo tarehe 8 june 2025 bado anayomimba au mm calculation zangu sijapiga vzur naona tarehe zimepitiliza
Basi sio yako anataka kukupa mtoto asiye wakoMpka naongea na ww yuko hospitali ila cha ajabu madaktari wamepima ultra sound wanasema ndo week ya 41 inaishia ila kwa hesabu zangu naona imefika week ya 42 ndo inaishia
Kua yangu ni uhakika yangu ila kinachonipa hofu ni calculation za madaktari na ukweli tunaoujua sisi na je ikitokea siku zikapitiliza hadi week ya 43 na wao walitwambia mwisho ni week ya 42 watamfanyia upasuaji ikipita sababu ndo hua hatari ikizidi hapoduh! Hii Hali ya kua na wasiwasi na Mimba Tena kwa mkeo ni mbaya sana, mbaya Mno
I hope itakua Yako mkuu
Jaribu madaktari sehemu nyingine kuhakikisha wanachokuambia, usiwaamini sana madaktari wa bongo niliwahi kuwa diagnosed na ugonjwa ambao sikua nao tena kwa vipimo vya lab, nilipoenda kwa daktari mwingine kila kitu kilikuwa tofauti, moto niliompelekea hatanisahauKua yangu ni uhakika yangu ila kinachonipa hofu ni calculation za madaktari na ukweli tunaoujua sisi na je ikitokea siku zikapitiliza hadi week ya 43 na wao walitwambia mwisho ni week ya 42 watamfanyia upasuaji ikipita sababu ndo hua hatari ikizidi hapo
Mtoto atazaliwa ana nywele,andaa mkasi! Kawaida hii mkuuNina mwanamke wangu mara ya mwisho kuingia hedhi ilikua tarehe 20 august 2024 na tulisex tarehe 31 august na tarehe 1 september ila tarehe za kujifungua naona zmepitiliza zile siku 280 lakini mpka leo tarehe 8 june 2025 bado anayomimba au mm calculation zangu sijapiga vzur naona tarehe zimepitiliza
HajapigwaUmepigwa
😅Hajapigwa
Kua yangu ni uhakika yangu ila kinachonipa hofu ni calculation za madaktari na ukweli tunaoujua sisi na je ikitokea siku zikapitiliza hadi week ya 43 na wao walitwambia mwisho ni week ya 42 watamfanyia upasuaji ikipita sababu ndo hua hatari ikizidi hapo