Wilbert255
Member
- Apr 15, 2020
- 27
- 28
Picha pls wengine hatukuelewi
Tunazo design tofauti tofauti mkuu ..kama unapendelea nyumba izoHabari za muda Wakuu
Kuna nyumba nimetokea kuzipenda, nimeona Kama gharama ni ndogo
Ni nyumba ambazo zimejengwa bati kwa juu hazionekani
Kuna maswali najiuliza naomba majibu.
Je, kweli hizo nyumba zinatumia bati chache?
Je, naweza kutumia tofali za kuchoma?
Je, nikitaka kujenga nyumba ya vyumba vitatu (kwa staili ya hiyo nyumba) inaweza cost kiasi gani cha pesa?
Nawasalisha!
View attachment 1618253
Siyo lazima iwe ya zege mkuu ..kinachofanyika inatumia mbao chache but iyo roof inasetiwa katika pitch ndogo ndio husaidia hata kupunguza idadi ya mbao zitazotumika ..pia nyumba izi huleta muonekano mzuli wenye kuvutiaKuna jamaa instagram wanahusika na hizo nyumba ila nimesahau majina yao
kwa nillivosikia zile nyumba hazina bati kabisa juu,ile ni concrete tu na nondo.wanadai zina gharama nafuu
zaidi ya hapo wasubiri wakuu
kama hii ..Picha pls wengine hatukuelewi
siyo lazima iwe ya zege mkuu ..kinachofanyika inatumia mbao chache but iyo roof inasetiwa katika pitch ndogo ndio husaidia hata kupunguza idadi ya mbao zitazotumika ..pia nyumba izi huleta muonekano mzuli wenye kuvutia
Gharama Zinapungua au hazipungui?Hii nadhalia ya kwamba hizi nyumba ni nafuu sio kweli, ukweli ni kwamba gharama za kupauwa zinapunguwa kwa kiwango kikubwa maana zinatumia mbao chache na bati chache lakini sehemu nyingine kama kusimamisha boma na kufanya finishing gharama zipo vilevile nimeongea na mafundi wengi wanatoa ushauri huo kinachobadilika ni mtindo tu wa ujezi.
Hazipungui na zinaweza kuongezeka.Gharama Zinapungua au hazipungui?
Kwa uhakika kabisa (bila shaka) gharama zinapungua kwenye kupaua kwa 50% au zaid.Gharama Zinapungua au hazipungui?
Hakika, utakachopunguza kidogo ni gharama za mabati na mbao pekee. Vitu vingine vinabaki vilevileHii nadhalia ya kwamba hizi nyumba ni nafuu sio kweli, ukweli ni kwamba gharama za kupauwa zinapunguwa kwa kiwango kikubwa maana zinatumia mbao chache na bati chache lakini sehemu nyingine kama kusimamisha boma na kufanya finishing gharama zipo vilevile nimeongea na mafundi wengi wanatoa ushauri huo kinachobadilika ni mtindo tu wa ujezi......