mtongwe
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,652
- 4,468
Naomba unielezee kuhusu hiyo namba 4Mimi Nimejenga Contemporary na ndio naishi humo hadi sasa...Nawapa facts....!
1. Nyumba ina Room 3 mbili kawaida moja master,plus sitting,dinning na public toilet,two verandah...bati zilicost 1.6m na mbao zilicost 1.1m
2.nilifanya waterproofing mwenyewe maana ni kitu nakifahamu ilinigharimu laki 540 mpaka ufundi
3.nyumba yangu ina muonekano wa kipekee mtaa mzima
4.wiki hii nafanya heat insulation itanigharimu laki 4 nyuma itakua na joto la chini kabisa
cha kuzingatia
1.Waterproofing
2.heat nsulation au uweke vent za kupitisha hewa kwenye paa
3. jitahidi kwenye madirisha ziba juu kwa polysulphide sealant inauzwa elf 25 moja inatosha ili kuzuia maji yasiingie ndani ya mvua,usizibe kwa silicone
4.inaweza kujengwa na tofali yoyote
nakaribisha maswalu