Naomba kueleweshwa haya kuhusu nyumba hizi ambazo bati zake hazionekani

Naomba unielezee kuhusu hiyo namba 4
 
Zile nyumba zina gharama kwenye finishing kwa sababu usipowekea bajeti nzuri kwenye finishing zinakuwa kama msikiti wenye uongozi wa mashehe wanaokula hela za michango ya ujenzi.
PIA sio kila fundi anaziwezea.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Zile nyumba zina gharama kwenye finishing kwa sababu usipowekea bajeti nzuri kwenye finishing zinakuwa kama msikiti wenye uongozi wa mashehe wanaokula hela za michango ya ujenzi.
PIA sio kila fundi anaziwezea.
Ha ha ha ha
 
Kuna jamaa instagram wanahusika na hizo nyumba ila nimesahau majina yao
kwa nillivosikia zile nyumba hazina bati kabisa juu,ile ni concrete tu na nondo.wanadai zina gharama nafuu
zaidi ya hapo wasubiri wakuu
Vitu vingine vinachekesha... yaani zege la nondo liwe garama nafuu kuliko bati!!ww UKICKIA WAAPI!?huko Kunakua na bati km kawaida,Ila zinakua chache coz hakuna mbwembwe
 
Vyote ni ulimbukeni tu mkuu,ulitaka tuish mapangoni km Zama za chuma?
 
Vitu vingine vinachekesha... yaani zege la nondo liwe garama nafuu kuliko bati!!ww UKICKIA WAAPI!?huko Kunakua na bati km kawaida,Ila zinakua chache coz hakuna mbwembwe

mkuu mbona nimeshaziona nyingi kwa juu huku hakuna bati kabisa, hii imekaaje ?
 
Ndugu mimi n fundi mzoefu wa kuezeka kwa nyumba kama hzo zinahitaji Fundi making sana sababu huwa zinavuja sana kama Fundi hawi making ukinihitaji 0624414200
 
Sorry. Uliweza kujenga kwa gharama kiasi gani mpala nyumba ikasimama?
 
Sawa nitajirekebisha uandishi Wangu. nilkuwa namaanisha fundi makini sio making nadhan umenipata
 
Zinapendeza ila nadhani gharama kubwa ni kwenye finishing,na ukijifanya kukwepa gharama hiyo nyumba itaonekana ya kawaida sana na hata kukusumbua kwa kuvuja inapoanza kuzeeka....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…