Naomba kueleweshwa haya kuhusu nyumba hizi ambazo bati zake hazionekani

Umeongea ukweli hizi nyumba shida yake kubwa kipindi cha mvua zinavuja kwa kuwa paa lake limelala sana na hupelekea maji kutuama kwenye ile gypsum board na kuleta shoti ya umeme kila mvua inaponyesha, gharama haina tofauti finishing ya nyumba iko palepale
 
Inawezekan raman ya nyumba Ya kawaida ukabadlish mtindo wa upauaji (na ukapaua kwa mtindo Uo)
Nikiona kuna jamaa alianza kikawaida hadi lenta kisha baadae akavutiwa na contemporary akaimodify vizuri tu
 
Hivi kwenye mvua inakuwaje hizo nyumba? Mana ziko flati na mvua inapiga moja kwa moja kutani,madirishani
 
Mafundi wengi bado hawajajua jinsi ya kudhibiti maji kuvuja ndani!...nina majirani wawili wamejenga Duu wakati wa mvua maji mengi hupenya ndani...
Unafuu wake unatumia bati na mbao chache katika kuezeka..
Lakini huchujisha Rangi haraka sana..
 
kuna jamaa niliwaona facebook hio tatizo wanali solve kwa kutengenezea kitu kufunikia nigumu kama lamiii sijui linaitwaje nila lazwa kwenye ukuta na bati so maji haya piti kabisa
 
Inawezekan raman ya nyumba Ya kawaida ukabadlish mtindo wa upauaji (na ukapaua kwa mtindo Uo)
inawezekana mkuu ila itakubidi upate fundi makini na mzoefu na mwenye talent kidogo ya ubunifu(design) ..coz unaweza kuta nyumba unayotaka kuibadili channel za maji kufikia gutter ikawa mtihani kutokana na ilivyodizainiwa awali but all in all its possible
 
Tafuta fundi mzuli na ukubali zikutoke ili upate kilichobora ...kulingana na design perspective ya architect wako au fundi wako hayo yote akiyazingatia vizuli lazima atakupatia design ambayo itapambana kupunguza uhalibifu wa nature kufikia mjengo wako bila kutoka nje ya core design ambayo ni contemporary kama utavyopendekeza
Hivi kwenye mvua inakuwaje hizo nyumba? Mana ziko flati na mvua inapiga moja kwa moja kutani,madirishani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…