Naomba kueleweshwa hii takwimu iliyotolewa na bodi ya ligi kupitia admin wao wa mtandao wa X

Naomba kueleweshwa hii takwimu iliyotolewa na bodi ya ligi kupitia admin wao wa mtandao wa X

Yaani timu iliyo na magoli 59 ndio iwe ndio timu pekee iliyokuwa na wastani wa kufunga goli kila mchezo. Vipi kwa timu iliyokuwa na magoli 63 na 71?
wapi wameandika wastani?
wastani unajua maana yake
 
Yaani timu iliyo na magoli 59 ndio iwe ndio timu pekee iliyokuwa na wastani wa kufunga goli kila mchezo. Vipi kwa timu iliyokuwa na magoli 63 na 71?
We jamaa kuna sehemu wametumia neno "wastani" au tukumbushane vipaumbele vya Lowasa?
 
Hesabu nilipata F lakini haka ka concept ni kepesi kukaelewa bila hata kueleweshwa...
 
Baada ya kufunga kila mchezo mmefaidika nini? Zaidi ya kuambulia aibu msimu mzima! Makolo nyie
Wabongo ndiyo watu wasioelewa pengine dunia nzima..

Hata lugha yao hawaielewi.

Haya kwa Kiingereza wamewatafsiria.

Mmechagua kutowaelewa Bodi ya Ligi. Leteni takwimu zenu zinazoonyesha kuna timu nyingine ilifunga katika kila mchezo.
 
Mungu hakupi kilema akakukosesha na mwendo
IMG-20240607-WA0016.jpg
 
Kwanzia mwanzo wa post hadi hapa ni wewe na dr. Restart ndio mlioleta kejeli wakati mtu kaomba kueleweshwa. Hakuna binadamu anayeweza kufahamu au kuelewa kila kitu duniani. Ndio maana kuna kitu kinaitwa ufafanuzi. Ila kwavile umesema wenye akili ni wawili naomba nikubaliane na takwimu yako kuwa ni heri wapo wawili kuliko upande wa pili wote ni mbumbumbu
Huu ni Utani Mkuu usichukulie serious sana
 
Back
Top Bottom