Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
wapi wameandika wastani?Yaani timu iliyo na magoli 59 ndio iwe ndio timu pekee iliyokuwa na wastani wa kufunga goli kila mchezo. Vipi kwa timu iliyokuwa na magoli 63 na 71?
We jamaa kuna sehemu wametumia neno "wastani" au tukumbushane vipaumbele vya Lowasa?Yaani timu iliyo na magoli 59 ndio iwe ndio timu pekee iliyokuwa na wastani wa kufunga goli kila mchezo. Vipi kwa timu iliyokuwa na magoli 63 na 71?
Duh......walimu waheshimiweYaani timu iliyo na magoli 59 ndio iwe ndio timu pekee iliyokuwa na wastani wa kufunga goli kila mchezo. Vipi kwa timu iliyokuwa na magoli 63 na 71?
Wabongo ndiyo watu wasioelewa pengine dunia nzima..
Hata lugha yao hawaielewi.
Haya kwa Kiingereza wamewatafsiria.
Mmechagua kutowaelewa Bodi ya Ligi. Leteni takwimu zenu zinazoonyesha kuna timu nyingine ilifunga katika kila mchezo.
Acha kujishtukia wewe dogo.Baada ya kufunga kila mchezo mmefaidika nini? Zaidi ya kuambulia aibu msimu mzima! Makolo nyie
Huu ni Utani Mkuu usichukulie serious sanaKwanzia mwanzo wa post hadi hapa ni wewe na dr. Restart ndio mlioleta kejeli wakati mtu kaomba kueleweshwa. Hakuna binadamu anayeweza kufahamu au kuelewa kila kitu duniani. Ndio maana kuna kitu kinaitwa ufafanuzi. Ila kwavile umesema wenye akili ni wawili naomba nikubaliane na takwimu yako kuwa ni heri wapo wawili kuliko upande wa pili wote ni mbumbumbu
Itakuwa hivyo.hapo inatafutwa tuzo mpya mwezi wa nane na sasa inatengenezwa akabidhiwe mtu. tumeanza kupangwa mapemaaaaaaaaaaaa