peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Nawapa pole Kwa msiba huo.Ndio
Ninakumbuka ana Binti Moja na Boys watatu auhuyu mama watoto wake wote wanalamba asali, wakuu wa mikoa, wakurugenzi, wakuu wa wilaya, dah nchi tamu hii
Hapa Wakristo umetusingizia tu. Sema msiba wa watu wenye hela za kuchezea.Ila misiba ya wakristo duuuuuu!!!! Wiki nzima mpo na maiti tu kuonekana mnaipenda sana au
tanzagiza bhana, yaani msiba kuanzia j3 mpaka jumamosi wiki nzima? na kazini wanaenda saa ngapi na huwa hawana mambo mengine ya kufanya hata hobby tu hamna? ā¦
Acha wivu nenda kalimehuyu mama watoto wake wote wanalamba asali, wakuu wa mikoa, wakurugenzi, wakuu wa wilaya, dah nchi tamu hii
Hili liloniganye nigombane na baba kwanini hakuwa chawa wa Nyerere ili tuishi peponi.huyu mama watoto wake wote wanalamba asali, wakuu wa mikoa, wakurugenzi, wakuu wa wilaya, dah nchi tamu hii
Nchi tamu kwao siyo kwako wewe hiyo asali umeilambia wapi?huyu mama watoto wake wote wanalamba asali, wakuu wa mikoa, wakurugenzi, wakuu wa wilaya, dah nchi tamu hii
Hiyo ratiba has nothing to do with ChristianityIla misiba ya wakristo duuuuuu!!!! Wiki nzima mpo na maiti tu kuonekana mnaipenda sana au
Mkuu a rest wapi tena? We si unaamini hakuna mbingu wala jehanamuš¤.RIP Mr. Mongella.
Mkuu,
Unataka kuwapangia mila za kufanya msiba?
Kwani ku rest lazima mbinguni au jehanamu?Mkuu a rest wapi tena? We si unaamini hakuna mbingu wala jehanamuš¤.
We ulimaanisha wapi?Kwani ku rest lazima mbinguni au jehanamu?