KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,456
- 5,462
Kweli kabisa. Hiyo ndiyo tofauti ya Hayati na Marehemu.Hapa Wakristo umetusingizia tu. Sema msiba wa watu wenye hela za kuchezea.
Kweli kabisa. Hiyo ndiyo tofauti ya Hayati na Marehemu.Hapa Wakristo umetusingizia tu. Sema msiba wa watu wenye hela za kuchezea.
Ila misiba ya wakristo duuuuuu!!!! Wiki nzima mpo na maiti tu kuonekana mnaipenda sana au
KweliPius Msekwa ni mme wa Anna Abdallah
Ndiyo maana sisi siyo hiyo dini nyingine. Mtu tumeishi naye miaka yote hiyo, tuna haraka gani ya kumzika haraka?Ila misiba ya wakristo duuuuuu!!!! Wiki nzima mpo na maiti tu kuonekana mnaipenda sana au
Sema hapo ni msibani ndio maana siku zinatafunika nyingi,lkn km ingelikuwa ni kilioni,siku moja ya pili mwili umezikwa.Ila misiba ya wakristo duuuuuu!!!! Wiki nzima mpo na maiti tu kuonekana mnaipenda sana au
Huenda ikawa ni UK.Kijiji cha Kabussungu kiko Wilaya gani?.
Sasa mbona hajauliza swali la pili au mimi ndio sijaliona?…Nikijibiwa, nitauliza swalinla pili!…
Daaa hiki kikombe cha ratio ya umri na kuzaa nimekibugiaNawapa pole Kwa msiba huo.
Mtoto wake WA kwanza John Mongela ana miaka 55, baba ana miaka 85.
Kumbee...Gertrude hiyo mimba ya John ilimpatisha shida sana akiwa mwanafunzi chuo kikuu!! Baadae ndio ikampadisha chart kama crusader wa haki za wakina mama!
R.I.P. mzee Mongella.
Ila misiba ya wakristo duuuuuu!!!! Wiki nzima mpo na maiti tu kuonekana mnaipenda sana au
Gwajima ana fufua bwana.Juni 2 had Juni 7. Mzikeni tu hatofufuka
Ndiyo! Wewe ulitakaje?
Wewe unataka mtu mzito kama Mongella azikwe kama kuku? Huoni hizo safari yaani atoke Dar mpaka Mwanza unataka iwe siku moja?tanzagiza bhana, yaani msiba kuanzia j3 mpaka jumamosi wiki nzima? na kazini wanaenda saa ngapi na huwa hawana mambo mengine ya kufanya hata hobby tu hamna? …
Kiko Ilemela barabara ya kupita Mwanza Airport ukiwa unaenda Kayenze!Kijiji cha Kabussungu kiko Wilaya gani?.
Hapana! Ni Mwanza hiyoHuenda ikawa ni UK.
Kwao mke wake ni MRUTUNGURU hapohapo UK.
haiko Mwanza?Hapana! Ni Mwanza hiyo
Siyo kwa maana ya mkoa kiongozi! Sema tu hawa jamaa wa kugawagawa wilaya walituchafulia tu!Kwani UKEREWE
haiko Mwanza?