Naomba kueleweshwa: Huyu ni mume wa Mama Getrude Mongela?

Naomba kueleweshwa: Huyu ni mume wa Mama Getrude Mongela?

Kama hayupo ndiyo kapumzika, madhali hasumbuki na matatizo ya dunia ndiyo kashapumzika hivyo.
Hahaha, haya bwana.
Kumbe mwaka 1950 (kabla sijazaliwa) nilikuwa nimepumzika maana sikuwepo kipindi kile.
 
Ila misiba ya wakristo duuuuuu!!!! Wiki nzima mpo na maiti tu kuonekana mnaipenda sana au
Siku 1 tu ushaitupa, kuonekana huipendi au?? Hayo ni maamzi ya familia wala si ya dini. Ukiwa mkristu ukazika siku hiyo hiyo aliyofariki dini inakukataza?? Msitumie ... kutoa kauli zenu
 
Mbona kawaida kabis...zamani tena huyo baba alichelewa kuzaa
Gertrude hiyo mimba ya John ilimpatisha shida sana akiwa mwanafunzi chuo kikuu!! Baadae ndio ikampadisha chart kama crusader wa haki za wakina mama!
R.I.P. mzee Mongella.
 
Back
Top Bottom