Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Naona Comrade unataka ukaweke kambi! Mpaka mazishi yafanyike, haki ya nani kama utakuwa makini, aisee mashavu yatanona. Maana hapo ni mnuso kwa kwenda mbele.Kijiji cha Kabussungu kiko Wilaya gani?.