Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 Jun 3, 2025 #61 koryo1952 said: Kijiji cha Kabussungu kiko Wilaya gani?. Click to expand... Naona Comrade unataka ukaweke kambi! Mpaka mazishi yafanyike, haki ya nani kama utakuwa makini, aisee mashavu yatanona. Maana hapo ni mnuso kwa kwenda mbele.
koryo1952 said: Kijiji cha Kabussungu kiko Wilaya gani?. Click to expand... Naona Comrade unataka ukaweke kambi! Mpaka mazishi yafanyike, haki ya nani kama utakuwa makini, aisee mashavu yatanona. Maana hapo ni mnuso kwa kwenda mbele.
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,966 Reaction score 26,220 Jun 3, 2025 #62 peno hasegawa said: Nawapa pole Kwa msiba huo. Mtoto wake WA kwanza John Mongela ana miaka 55, baba ana miaka 85. Click to expand... Nini kinakushangaza asa?
peno hasegawa said: Nawapa pole Kwa msiba huo. Mtoto wake WA kwanza John Mongela ana miaka 55, baba ana miaka 85. Click to expand... Nini kinakushangaza asa?
M Mbuli yaza JF-Expert Member Joined May 30, 2023 Posts 797 Reaction score 762 Jun 3, 2025 #63 koryo1952 said: Kijiji cha Kabussungu kiko Wilaya gani?. Click to expand... Kiko wilaya ya Ilemela mkoani mwanza ndiko iliko hospitali ya wilaya ya Ilemela kwenye shamba la babake Silivini, Mzee mwalimu Emanuel Mongela.
koryo1952 said: Kijiji cha Kabussungu kiko Wilaya gani?. Click to expand... Kiko wilaya ya Ilemela mkoani mwanza ndiko iliko hospitali ya wilaya ya Ilemela kwenye shamba la babake Silivini, Mzee mwalimu Emanuel Mongela.
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,832 Reaction score 77,037 Jun 3, 2025 #64 Apumzike Kwa Amani