Naomba kuelezwa : Iran akimiliki Nuclear Israeli inamhusu nini?

Naomba kuelezwa : Iran akimiliki Nuclear Israeli inamhusu nini?

1950s huko, sijapata bado point Yako
Baada ya vita ya pili ndo hy mamlaka ikaanzishwa ili kudhibiti hizo vita vya Nuclear, na ndo mana tangu hapo hapajawah kuwa na vita vya nuclear na kama una ishu yoyote inayohusu nuclear kwa lolote lile bc n lazima mamlaka ijue kila kitu.

Iran wao wana eneo la kuzalisha mabomu ya Nuclear ambayo n ya siri.
 
Serikali ya Iran imeapa kuliangamiza taifa la Israel. Iran wamejigamba mapema kabla ya kujipanga, watadundwa sana tu, na seikali yao itapinduliwa.
 
Leteni sababu za kwa nini Iran inasemekana alisema ataifuta Israel kwenye uso wa dunia, chanzo ni nini? kauli hii ilisababishwa na nin?
 
Labda kuna sheria za kimataifa ndiyo sikatai. Najiuliza tu Iran akimiliki nuclear Israeli inam-bother nini?

Je, Israel hana nuclear? Nadhani anayo. Kwanini sasa amemvamia Iran?

Yaani mimi ninunue AK47 huyu jirani yangu aanzishe vita? Naomba kueleweshwa na non-mashabiki wa vita.
viongozi wa Iran wamekuwa wakitoa matamko ya kuifuta Israel sasa Israel inahofu na Iran ikipata nuklia itatimiza azimio lake
 
Kinachomponza Iran ni kufadhili vikundi vya jihadi kujaribu kuifuta Israel ili wabaki na Gaza matokeo yake anawaponza hata hao wa Palestine, na sasa wanahangaika kung'oa mzizi
Yani Iran akiwasaidia Hizbollah au Palestine ni kosa ila Israel akisaidiwa na US na UK France ni poa tu. Hii dunia ni yetu sote hatupangiani marafiki
 
Labda kuna sheria za kimataifa ndiyo sikatai. Najiuliza tu Iran akimiliki nuclear Israeli inam-bother nini?

Je, Israel hana nuclear? Nadhani anayo. Kwanini sasa amemvamia Iran?

Yaani mimi ninunue AK47 huyu jirani yangu aanzishe vita? Naomba kueleweshwa na non-mashabiki wa vita.
Iran aliasema anataka kumiliki nuclear ili aifute Israel kwenye ramani ya dunia. Hata wewe ukimwambia huyo jirani yako ukipata AK47 utamaliza ukoo wake wote halafu akuone unafanya juhudi kubwa kuipata hiyo silaha na unakaribia kuipata hiyo silaha kwanini asikuzuie?
 
Tatizo nabishana na mpumbavu hvy huwez kunielewa, usiku mwema.
Mimi kama ni mpumbafu we utakuwa zaidi yangu, sababu hukujuwa mimi ni mpumbafu tokea mwenzo, ungekuwa si mpumbafu usinge poteza time ya ku chat na mimi hapa
 
Iran aliasema anataka kumiliki nuclear ili aifute Israel kwenye ramani ya dunia. Hata wewe ukimwambia huyo jirani yako ukipata AK47 utamaliza ukoo wake wote halafu akuone unafanya juhudi kubwa kuipata hiyo silaha na unakaribia kuipata hiyo silaha kwanini asikuzuie?
Hebu tupe link ya hio habari au pombe zimeisha panda kichwani
 
Labda kuna sheria za kimataifa ndiyo sikatai. Najiuliza tu Iran akimiliki nuclear Israeli inam-bother nini?

Je, Israel hana nuclear? Nadhani anayo. Kwanini sasa amemvamia Iran?

Yaani mimi ninunue AK47 huyu jirani yangu aanzishe vita? Naomba kueleweshwa na non-mashabiki wa vita.
Ni sawa na kuuliza, Ukraine kujiunga na EU, inamuhusu nini Urusi?
 
Labda kuna sheria za kimataifa ndiyo sikatai. Najiuliza tu Iran akimiliki nuclear Israeli inam-bother nini?

Je, Israel hana nuclear? Nadhani anayo. Kwanini sasa amemvamia Iran?

Yaani mimi ninunue AK47 huyu jirani yangu aanzishe vita? Naomba kueleweshwa na non-mashabiki wa vita.

Mkuu hayo ndiyo yale mambo tunasema kila siku tuasipangiane.

Sasa wapo wale ambao wao ni watu zaidi kuliko wengine.

Tatizo linaanzia hapo Wala si pengine.
 
Wewe silaha ya maangamizi kama hiyo imagine wakati ule wa Nduli Iddi Amini kama tungeambiwa Tanzania kuwa wanakaribia kuwa nayo unafikiri Nyerere angekubali? Iran kwa kuongozwa na vitabu vyao vya uislamu wanaamini wao ndiyo wamekuwa commissioned kuiangamiza israel toka Uso wa Dunia. Na mara kwa mara huimba death to Israel, death to America. Wamejaribu kwa kuwatumia Hamas na Hezbollah na kule Judea & Samaria wamekuwa wakipenyeza silaha. October 7, 2023 wao ndiyo walio engineer. Mungu bariki Yahya Sinwar akawa kimbelembele akatekeleza ahead of the coordinated plan with Hezbollah. Hapo ndiyo picture ilipoungua kwa Hezbollah hawakuweza act in time. Lakini bado Iran akaendelea na mkakati wake wa kuwaingiza Hezbollah. Hatimaye Israel wakawalia timing Hezbollah with the Pager explosion na maangamizo ya makamanda wao.
Iran akiwa tayari ameona kuwa kumbe uwezekano upo wa kuiangamiza Israel with long range balistic missiles hapa mwishoni akawa anafanya udanganyifu wakati mazungumzo ya nuclear yakiendelea kati yao na USA. Upande wa nyuma ya pazia wakawa wanaharakisha angalau watengeneze makombora 9 yenye vichwa vya nuclear.
Unafikiri sasa hivi tungekuwa tunazungumza lugha gani endapo angekuwa na hizo missiles za nuclear?
Wewe fikiri Viongozi wa nchi na Bunge lao wako Bungeni wanachoma Bendera ya USA hao wewe utawaamini na nuclear?
My friend mpango wao wakimalizana na wayahudi wanakuja kwenu wakristo. Sijui kwanini wakiristo ni wapumbavu kiasi hicho!? Vitabu vyao vinasema na kila leo viongozi wao ambao siyo WANAFIKI wanayasema hayo.


View: https://x.com/EYakoby/status/1935355287076045289
 
Rejea kauli za viongozi wa Iran kutaka kuifuta Israel.
Ukiwa na makobora ya ballistic na ukawa na uwezo wa kupenya vizuizi vya target za Israel unaigeuza juu chini kwa kuichanganya na bahari then linakuwa ziwa kutoka ardhini
 
Labda kuna sheria za kimataifa ndiyo sikatai. Najiuliza tu Iran akimiliki nuclear Israeli inam-bother nini?

Je, Israel hana nuclear? Nadhani anayo. Kwanini sasa amemvamia Iran?

Yaani mimi ninunue AK47 huyu jirani yangu aanzishe vita? Naomba kueleweshwa na non-mashabiki wa vita.


Sababu kubwa ni msimamo wa utawala wa kiislam wa Iran, chini ya Ayatollah dhidi ya Israel.

Huko siku za nyuma, chini ya utawala wa kifalme wa Iran, Israel ilikuwa na uhusiano mzuri na Iran. Hata wakati wa vita kati ya Iran na Iraq, Israel ilikuwa ikiisaidia Iran.

Mwaka 1979, waislam wenye msimamo mkali nchini Iran, waliipindua Serikali ya wakati huo, na kuifanya Iran itawaliwe kwa sheria za dini. Ayatollah akatangaza kuwa kwa maagizo ya mtume kupitia quran, wazayuni wanatakiwa kuangamizwa, hawastahili kuwepo Duniani, na Iran ina wajibu wa kuwaangamiza wazayuni (Waisrael), isipokuwa wale watakaoslim. Maelfu ya wayahudi waliokuwepo Iran, waliamua kukimbilia Marekani. Kutokana na tangazo hilo la Serikali ya Ayatollah, chochote inachokifanya Iran katika kupata silaha za maangamizi, Israel inachukulia kuwa ni maandalizi ya Iran kuiangamiza Israel.

Umoja wa mataifa, kwa kuzingatia wasiwasi wa Israel, ikaitaka Iran isimiliki silaha za maangamizi, na Iran ikatamka kuwa mradi wake wa nuclear haulengi kutengeneza silaha bali ni kwa matumizi ya kiraia. Lakini wataalam wa masuala ya nuclear, kwa uchunguzi wao wakasema maelezo ya Iran yalikuwa ya uwongo, na wakaitaka Iran ikubali miradi yake ya kurutubisha uranium iwe inakaguliwa na wataalam wa nuclear energy ili kujiridhisha kuwa Iran haitengenezi silaha za nuclear. Lakini miaka ya karibuni, Iran imekiuka makubaliano ya Umoja wa mataifa, na kuwazuia wachunguzi wa tume ya nuclear energy kukagua miradi yake.

Hivyo kuzuiwa kwa Iran kumiliki silaha za nuclear kunatokana na tabia mbaya iliyooneshwa na Iran ya uhasama dhidi ya Israel na Serikali zote za kiarabu zinazoongozwa na wasuni, ambako kwenye mataifa hayo, Iran imekwa ikipandikiza makundi ya kigaidi ili kuzidhoofisha serikali za mataifa hayo.

Kuna wakati Rais Bush aliwahi kuulizwa kwa nini Iran izuiwe kumiliki silaha za nuclear wakati kuna mataifa yanamiliki silaha hizo? Bush alimjibu yule mwanahabari: Hivi ukiona mtu mwenye akili timamu ameshika kisu, huwa unakuwa na wasiwasi wowote? Na vipi ukimwona kichaa ameshika kisu?
 
Iran ilkua hatua ya mwisho kuwa na nuclear inasemekana huu mwezi wange kamilisha
 
North Korea mbona hawarushi na wanaongozwa na kichaa. issue nikuwa kwa nini uwachokoze.


North Korea haijawahi kusema kuwa inataka kulipoteza taifa lolote. Ilisema inamiliki silaha za nuvlear kwaajili ya kujilinda.

Iran ilitamka kuwa itahakikisha inaiangamiza Israel, kwani kurani imeagiza kuwa wazayuni hawatakiwi kuwepo Duniani.
 
Back
Top Bottom