Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Kwann Israel hatakiwi kuwa nazo na kwann Iran anatakiwa kuwa nazoNuclear facilities za Iran zote zipo zinafatiliwa na International Atomic Energy Agency (IAEA) na mpaa jana wamesema Nuclear facilities zao hakuna dalili wanataka kutengeneza Nuclear Boom. Wakati Israel anazo na kisheria hatakiwi kuwa nazo