Naomba kuelezwa : Iran akimiliki Nuclear Israeli inamhusu nini?

Mzee wako alikudanganya.

🚶🚶🚶
 
Kwa hiyo sheria za umoja wa mataifa zinaruhusu Kenya akianza kutengeneza nuclear Tanzania tumvamie?

Kama Kenya ikisema inatengeneza bomu la nuckear ili iiangamize Tanzania, itakuwa ni halali kwa Tanzania kuivamia Kenya kuhaikisha haitekelezi dhamira yake mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…