Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
PS atakujibu nini? huyu hana tofauti na Asha BarakaSaw, Hao wanaofuja pesa za umma na majengo hayajakamilika ni kutoka chama gani kaka?
Ukijibu hili mimi nakufa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PS atakujibu nini? huyu hana tofauti na Asha BarakaSaw, Hao wanaofuja pesa za umma na majengo hayajakamilika ni kutoka chama gani kaka?
Ukijibu hili mimi nakufa
Umesamehewa bure kabisa dhambi zako.nenda kwa AmaniShetani mkubwa wewe
Nilishakwambia kuwa uwe na adabu mdogo wangu.PS atakujibu nini? huyu hana tofauti na Asha Baraka
Umemjibu vizuri sana.Hata wewe ukiwa na Uzalendo kwa Taifa watu watakujadili tu utake usitake.
Sio lazima kutukanana Kila wakati tuwe na wasaa wa ku-appreciate juhudi za wengine kwa uwazi kabisa.
Andiko zuri sana Lucas MwashambwaNdugu zangu Watanzania,
Kuna watu ni WAZALENDO kwelikweli,ni wasafi sana, ni waaminifu waliopitiliza,ni wacha Mungu na wenye Hofu ya Mungu sana na wana uchungu mkubwa Sana na Maisha ya watanzania. Miongoni mwa watu hao basi ni hawa watu wawili ambao wamewahi ishitua Tanzania na kugusa mioyo ya mamilioni ya watanzania.
Ngoja niwape story bila kuwachosha kuelekea wikendi. Ilikuwa hivi Mheshimiwa Chuma Mwenyewe David Kafulila akiwa katibu Tawala Mkoa wa Songwe alipewa Billion Sita kujenga mpaka kumaliza ujenzi wa Makao makuu ya mkoa wa Songwe yanayopatikana katika kata ya Mlowo Eneo la Nselewa. Lakini Chuma kwa kutumia mfumo wa Force Akaunti katika ujenzi wa Makao makuu hiyo hakumaliza pesa hiyo.
Ambapo mpaka jengo linamalizika na kukamilika Chuma Kafulila akabakisha Chenji ya Karibu Billion Mbili.Siku hiyo anasoma taarifa hiyo mbele ya waziri mkuu mwaka 2020 Ofisi za makao makuu ya mkoa ,watu wote walibaki Midomo wazo na kustaajabu Uzalendo alio uonyesha CHuma Kafulila. Nakumbuka siku hiyo alisoma taarifa hiyo kwa umakini na utulivu wa hali ya juu sana. Na kwa bahati nzuri mimi mwenyewe nilikuwepo siku hiyo na nilikuwa karibu sana eneo la Tukio na nilikuwa nimesimama jirani na Mheshimiwa David Silinde ambaye siku hiyo alipewa nafasi ya kuzungumza pia. Nilikuwa jirani maana nilikuwa ni kiongozi wakati huo kwenye jumuiya ya vijana yaani UVCCM.
Siku hiyo nakumbuka wakati tunarejea majumbani Chuma Kafulila alikuwa ni gumzo sana tena sana midomoni mwa watu ,kwa namna alivyo onyesha uzalendo wa kipekee na uaminifu wa kiwango cha juu sana.
Mwingine ni Dada wa Taifa na Rais wa IPU na msomi Nguli wa sheria kuwahi kutokea nyanda za juu kusini.huyu sina sababu ya kueleza mengi maana mnakumbuka Billion kadhaa alizorejesha serikalini baada ya kubana matumizi kule Bungeni.
Nimeamua niandike haya kueleza kuwa kuna watu ni waaminifu na wazalendo sana,ambao miongoni mwao ni hawa niliowataja hapa.
Jiulizeni ndugu zangu watanzania ni mara ngapi mmesikia kuwa mradi fulani Umepelekewa mamillioni kwa mamillioni ya pesa, lakini pesa zimekwisha na mradi haujafika hata nusu na hela haieleweki iliko kwenda? Mara ngapi mmesikia miradi kama vile ujenzi wa shule au kituo cha afya au barabara au usambazaji wa maji unakatu umekwama kukamilika kwa kuwa tu mapesa yaliyotolewa yameliwa na kuisha kabla hata mradi haujafika hata Nusu yake? Hamjaona haya wanapofanya ziara mawaziri wetu huko mikoani wakisikitika mpaka wanatamani kulia baada ya kukuta pesa zimeliwa? Hamjaona waziri mkuu wetu akiongea kwa uchungu na kwa huzuni na kuagiza ukaguzi na uchunguzi ufanyike kubaini waliotafuna pesa?
Lakini vyuma hivi Mheshimiwa Dkt Tulia pamoja na David Kafulila vilirejesha Chenji ya mamilioni kwa mamilioni,pesa ambazo wangeamua kuzichepusha kutunisha akaunti zao benki. Lakini kwa uzalendo wao wakasema hapana acha turejeshe pesa hizi ili zikajenge vituo vya afya ,shule, usambazaji wa maji safi na salama,umeme, barabara n.k.
Mwisho niseme tu kuwa mimi ni mzalendo na nimekuwa na tabia ya kutetea na kuwasemea wazalendo wote. Mimi sioni haya wala aibu kumtetea na kumsemea mzalendo bure kabisa pasipo malipo ya aina yoyote ile wala kupewa hata mia tano tu ya Vocha. Nataka Taifa liwe na utamaduni wa kuwaunga mkono wazalendo na wachapakazi wa Taifa letu ,tusiache wakachafuliwa na kushambuliwa na wabaya .ndio maana kuna watu awali wakasema mara nalipwa kwa uchawa ,wengine wakasema nalipwa na Mheshimiwa Dkt Tulia,wengine wakasema Nalipwa na Mwamba Mwenyewe Paul Makonda na sasa wengine wanasema nalipwa na Chuma Kafulila.ila hawasemi nalipwa shilingi ngapi na kwanini nilipwe na kila mtu na na kwa watu wote hao? Na hawasemi kwamba wao wanalipwa na nani kuchafua watu humu jukwaani na mitandaoni.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Unawachafua tu hao wafadhili wakoInategemeana unamtaja katika nini. Sasa wewe unaanzaje kusema wewe ni fulani wakati huna uhakika huo ukiambiwa uthibitishe.
Daaah kuna watu KwelikweliNdugu zangu Watanzania,

Bongo bana sasa wanachafukaje hapo? NDIO maa Makonda anawazidi watu Kila siku, maana ya social media ndio hiiUnawachafua tu hao wafadhili wako
Mimi sifadhiliwi na mtu yeyote yule ndugu yangu. Tuache uoga wa kukaa kimya bila kuwatia moyo na kutambua mchango wa watu wazalendo, wachapakazi, waaminifu, waadilifu kwa Taifa letu. Tusiache wakashambuliwa na waovu bila kuwasemea.tutakuwa tunawakatisha tamaa na kuwapa ushindi mafisadiUnawachafua tu hao wafadhili wako
Hela za zitto alisema ziende jimboni. Ila 2015-2020.zitto sijaona popote ambapo alisema hachukui posho.kama umeona kauli yake yakutokuchukua niwekee hapaSio kurudisha chenji Tu
Wengine walikuwa hawachukui ela kabisa
Leo nakutajia wawili Tu
Zito kabwe na January makamba
Huwezi kumlinganisha Zitto na KafulilaHela za zitto alisema ziende jimboni. Ila 2015-2020.zitto sijaona popote ambapo alisema hachukui posho.kama umeona kauli yake yakutokuchukua niwekee hapa
Mheshimiwa Kafulila ni chuma kwelikweli.Huwezi kumlinganisha Zitto na Kafulila
Hela za zitto alisema ziende jimboni. Ila 2015-2020.zitto sijaona popote ambapo alisema hachukui posho.kama umeona kauli yake yakutokuchukua niwekee hapa
Hesabu haisomi?Kuna kurudisha Kwa sababu pesa imevuka mwaka na miradi haikutekelzwa ipasavyo.
Hoja ni mradi umekwisha na chenji imebakia.
Jerry na Bashungwa walikataa Rushwa za mabilioni
Ndiyo maana yake. Na kila siku anamsifia mama Abdul kumbe naye ni mpigaji tu. Yaani CCM yoote wasafi ni hao wawili tu kama ilivyo Yanga kuwa wenye akili ni wawili tu. Lucas Mwashambwa ana matusi ya reja reja kweli.Kwa hiyo unataka kutwambia ukiondoa hao wawili kwenye serikali ya CCM,wengine wote ni Mafisadi na Majizi kama CAG alivyobainisha?
(Wanakula kwa urefu wa kamba zao)!
Kuna watu huwa sijui wanatumiaga nini kufikiria, Lucas Mwashambwa amesema hawa ni wale waliorudisha chenji kwa maana ya kubana matumizi,Ndiyo maana yake. Na kila siku anamsifia mama Abdul kumbe naye ni mpigaji tu. Yaani CCM yoote wasafi ni hao wawili tu kama ilivyo Yanga kuwa wenye akili ni wawili tu. Lucas Mwashambwa ana matusi ya reja reja kweli.
Maana yake hao ndiyo waadilifu pekee 'the rest' wanakula kwa urefu wa kamba zao usichoelewa nini hapo?Kuna watu huwa sijui wanatumiaga nini kufikiria, Lucas Mwashambwa amesema hawa ni wale waliorudisha chenji kwa maana ya kubana matumizi,
Sasa Mama Samia anaingiaje hapo?
Jibu hoja acha Kona kona
Unakulaje pesa ya Mradi?Maana yake hao ndiyo waadilifu pekee 'the rest' wanakula kwa urefu wa kamba zao usichoelewa nini hapo?