Naomba kuelezwa ni nani Mwingine zaidi ya Dkt Tulia na David Kafulila amewahi kurejesha Chenji Serikalini?

Hata wewe ukiwa na Uzalendo kwa Taifa watu watakujadili tu utake usitake.
Sio lazima kutukanana Kila wakati tuwe na wasaa wa ku-appreciate juhudi za wengine kwa uwazi kabisa.
Umemjibu vizuri sana.
 
Andiko zuri sana Lucas Mwashambwa
 
Daaah kuna watu Kwelikweli
 
Unawachafua tu hao wafadhili wako
Mimi sifadhiliwi na mtu yeyote yule ndugu yangu. Tuache uoga wa kukaa kimya bila kuwatia moyo na kutambua mchango wa watu wazalendo, wachapakazi, waaminifu, waadilifu kwa Taifa letu. Tusiache wakashambuliwa na waovu bila kuwasemea.tutakuwa tunawakatisha tamaa na kuwapa ushindi mafisadi
 
Sio kurudisha chenji Tu

Wengine walikuwa hawachukui ela kabisa

Leo nakutajia wawili Tu

Zito kabwe na January makamba
Hela za zitto alisema ziende jimboni. Ila 2015-2020.zitto sijaona popote ambapo alisema hachukui posho.kama umeona kauli yake yakutokuchukua niwekee hapa
 
Hela za zitto alisema ziende jimboni. Ila 2015-2020.zitto sijaona popote ambapo alisema hachukui posho.kama umeona kauli yake yakutokuchukua niwekee hapa

Sijaona kauli ila nimeona akiwa hachukui na wala hasaini form ya posho wala allowance yoyote
 
Kuba
Kuna kurudisha Kwa sababu pesa imevuka mwaka na miradi haikutekelzwa ipasavyo.

Hoja ni mradi umekwisha na chenji imebakia.

Jerry na Bashungwa walikataa Rushwa za mabilioni
Hesabu haisomi?
Umepanga kutumia 10 units lakini ukapata mtelemko ukatumia 8 units.Au ulipanga kutumia 10 units lakini gharama ikapanda unatakiwa kuongeza 2 units.
On boyh cases ndio hali harisi ya mradi ni razima urudishe change sio yako ni mali ya hazina vivyo hivyo unapopungukiwa kwenye supplementary budget utaongezewa hizo unit 2 ili umalize mradi.
Acheni tabia za kula bila kunawa.
 
Kwa hiyo unataka kutwambia ukiondoa hao wawili kwenye serikali ya CCM,wengine wote ni Mafisadi na Majizi kama CAG alivyobainisha?
(Wanakula kwa urefu wa kamba zao)!
Ndiyo maana yake. Na kila siku anamsifia mama Abdul kumbe naye ni mpigaji tu. Yaani CCM yoote wasafi ni hao wawili tu kama ilivyo Yanga kuwa wenye akili ni wawili tu. Lucas Mwashambwa ana matusi ya reja reja kweli.
 
Kuna watu huwa sijui wanatumiaga nini kufikiria, Lucas Mwashambwa amesema hawa ni wale waliorudisha chenji kwa maana ya kubana matumizi,

Sasa Mama Samia anaingiaje hapo?
Jibu hoja acha Kona kona
 
Kuna watu huwa sijui wanatumiaga nini kufikiria, Lucas Mwashambwa amesema hawa ni wale waliorudisha chenji kwa maana ya kubana matumizi,

Sasa Mama Samia anaingiaje hapo?
Jibu hoja acha Kona kona
Maana yake hao ndiyo waadilifu pekee 'the rest' wanakula kwa urefu wa kamba zao usichoelewa nini hapo?
 
Maana yake hao ndiyo waadilifu pekee 'the rest' wanakula kwa urefu wa kamba zao usichoelewa nini hapo?
Unakulaje pesa ya Mradi?

Sikiliza kidogo, Kwenye habari tunavitu viwili,

1. Tuna News
2. Tuna story

Mfano Mtu kumng'ata Mbuwa ni NEWS
but Mbwa kumng'ata Mtu ni STORY

Hivyo; Kafulila na Tulia kurudisha chenji ni NEWS.
Ila kiongozi mwingine yoyote kutekeleza miradi Kwa mujibu ya BOQ na kuikamilisha hiyo ni Story.

Kwanini ni story ni kwasababu ni jambo la kawaida la Kila siku.

Kwanini ni News ni kwasababu Sio jambo la Kawaida.

Maarifa ni kitu Cha muhimu sana kwenye maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…