Naomba kuelezwa ni nani Mwingine zaidi ya Dkt Tulia na David Kafulila amewahi kurejesha Chenji Serikalini?

Wewe kweli una short memory na labda ni watoto waliokunywa maziwa ya lactogen badala ya maziwa ya mama.
Kabla ya uhuru na baada ya uhuru ilikuwa kawaida kurudisha hazina fedha ambayo haikutumika kwenye idara mbali mbali.
Hajasema wala kuthibitisha kuwa Kafulila na hako ka mkomao walirudisha hazina,yeye alisikia matangazo yakisomwa.
 
Kafulila na Tulia ni majembe sana hawa watu nakubaliana
 
Kazi na iendelee👏🏿👏🏿👏🏿
 
Hongera Kafulila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…