Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UNa uhakika ni TRA?Wameahidi tar 1 watakuja kunifungia kama sitakata leseni ya biashara ambayo gharama yake ni 80
Na mm kwa sasa sina mpango was kukata leseni sababu sina huo uwezo kwa sasa kazi yangu ndo kama unavoiona hapo.
Ahh kaka kumbe nawewe upo huku?
Nitakupitia hapo ofisini TushaurianeNdiyo kaka
Anakuzingua tu huyo mkuu bila shaka hata hakujuiKwa wema au kwa shari
Ukweli mchungu wakienda kisheria watakushinda na utapigwa fain ……. Jaribu kutumia busara kuzungumza nao kibinadamu sema wew unaonekana ni mtu mwwny hasira za haraka just cool down take long breath then ongea nao taratibu utanishukiru badaye
Wameahidi tar 1 watakuja kunifungia kama sitakata leseni ya biashara ambayo gharama yake ni 80
Na mm kwa sasa sina mpango was kukata leseni sababu sina huo uwezo kwa sasa kazi yangu ndo kama unavoiona hapo.
Kwanza labda nikusaidie kitu hapa. Tra wao hawahusiki na utoaji wa liseni hao watakuwa ofisi ya mfanyabiashara eneo lako. pili tra hawawezi kufunga biashara sababu taratibu zao hazipo hivo. nachokielewa ni kuwa halmashauri hawatakiwi kutoa liseni mpaka mtu aende tra akakadiriwe na kupewa cheti cha kutodaiwa kodi. sasa mara nyingi wanawatishia na kusema watu waende tra ndipo unapojikuta ni kama unatakiwa na tra kulipa liseni. kama unabisha nenda ofisi ya tra yoyote uwaulize watakuambia.na usije toa rushwa ndugu yangu itakuwa mchezo hao ni matapeli au afisa biashara. uwe unaomba kitambulisho siku nyingine.Wameahidi tar 1 watakuja kunifungia kama sitakata leseni ya biashara ambayo gharama yake ni 80
Na mm kwa sasa sina mpango was kukata leseni sababu sina huo uwezo kwa sasa kazi yangu ndo kama unavoiona hapo.
Usiogope mimi sio afisa wa TRAKwa wema au kwa shari