Naomba kuelimishwa kuhusu hii ofisi yangu TRA wanataka niwe na leseni.

Iyo ni halmashauri sio TRA, kachukue tu leseni, tra hawatakusumbua
 
Hapa mzee na wewe umeamua kutupeleka Kongo kwa miguu TRA na leseni wapi na wapi

Au unataka uonekane upo kuilaumu TRA yaani hata hujui TRA wanatoa
 
Duh, wamekula nyama na mifupa wanaitaka πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ndo serikali ya Chura Kiziwi hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…