Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kuanzisha Podcast unaweza pia. Kuna website ambazo watakusaidia.Shukrani. Hizo app kama google podcast unaweza kuitumia hiyo kuupload kazi yako. Na wanaoandaa wanapataje pesa?
Mkuu ongeza nondo za ziada kidogo😁. Kwa apple huwa namuona Joel NanaukaWewe kuanzisha Podcast unaweza pia. Kuna website ambazo watakusaidia.
Inakua kama YouTube through hiyo website na Streaming App ndio utakua unapata hela kutokana na idadi ya wasikilizaji.
Pia matangazo sponsors bila kusahau.
Kwa Tanzania nadhani Salama Jabir ndio anafanya vizuri ingawa mi maudhui yake sio fan ila naona uwa namuona kwenye recommended.
Inaweza kuja kua deal baadae unaweza anza mdogo mdogo.
mkuu hizo huduma unapata kwa kulipia?Yaani ugonjwa wangu.
Podcast ni App ambayo inakufanya wewe mtumia simu au kifaa chochote cha kielectronic kuweza kusikiliza simulizi au vipindi mbalimbali ambavyo umevifollow au unavipenda.
Mfano kwenye iPhone iyo App unaikuta automatically ila Android una download, mfano Google Podcast, ila pia App za Spotify zinasupport podcast.
Kwahiyo wewe uta search topic unazopenda. Mfano unapenda mambo ya Horror Story, au Crimes au Serial Killers, Mapishi, Michezo etc.
Unakua unasikiliza na mostly zinakua kwa episodes na zinatoka weekly au ata kwa week mara mbili.
Watu wengi wanasikiliza wakati wa mazoezi, kusoma, meditation, au kulala.
Jaribu, ukianza hautaacha.
Bure kabisa mkuu. Yaani unaweza kusikiliza online au ukadownload.mkuu hizo huduma unapata kwa kulipia?
Asee mkuu ebu naomba unisaidie ule uzi wako wa kile kitabu cha Mtu tajiri wa Babylon