Naomba kuelimishwa; matrillion ya pesa yanayokusanywa kwenye kodi ya ‘Fuel marking’ yanaenda serikalini au kuna mtu anabugia asali?

Naomba kuelimishwa; matrillion ya pesa yanayokusanywa kwenye kodi ya ‘Fuel marking’ yanaenda serikalini au kuna mtu anabugia asali?

Hizo hutumika na viongozi kusafiri kila sku kwenda kufanya matanuzi huko nje.vilevile hizi hutumika kama fidia kwa viongozi ambao hawalipi kodi kama vile raisi,makamu wa rais,waziri mkuu,marais wasitaafu,mawaziri na wengineo wengi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kiasi kinacholipwa kwa ajili ya hiyo fuel marking ni kikubwa basi kilitakiwa kiondolewe.
Mafuta yenyewe yanaagizwa kwa pamoja, yakiingia bandarini ina maana wanayaona na kutoza kodi Kuna haja ya kuyawekea alama wakati yanapoingilia panajulikana? Tuelimishane jamani

Ni kweli mkuu, Tanzania tunautaratibu wa kuagiza mafuta kwa pamoja, lakini hili halimaanishi hayo ndiyo mafuta pekee yanayoingia Tanzania. Mipaka halali na isiyo halali nayo hutumika kuingiza mafuta na wahujumu uchumi kinyume na utaratibu.

NB: Namimi naunga mkono zoezi la kumsaka mlamba asali.
 
Kwakweli tuambiwe tu, nani anakula kodi hii ya ‘fuel marking’? Nani analamba asali hapo?!
 
Nani anabugia asali ya ‘fuel marking’? Au hii kodi inaenda serikalini?
 
Ipo kampuni imepewa tenda fuatilia
Kwahiyo kuna kampuni inachukua kodi zetu kiulaini kabisa?! Kwanini TBS wenyewe wasifanye hiyo ‘fuel marking’ ili hiyo kodixiende kuboresha miundo mbini za elimu na afya? Nani kapewa huo mzinga wa asali hapo?!
 
Back
Top Bottom