mwakavuta
Member
- Sep 22, 2020
- 99
- 306
Wakuu salam,
Nimepata ujumbe wa SMS kutoka kwa namba ya ndugu yangu unaoonyesha kuwa amepata ajali akielekea songea, nimejaribu kupiga simu haipokelewi lakini ujumbe wa SMS umetaja jina lake na ni kweli alikuwa anasafiri kwenda songea jumamosi ya tarehe 26/6/2021.
Naomba kupata taarifa zaidi kama kuna ajali yoyote imetokea kwa magari yanayoenda Songea.
Asanteni sana.