Mczigga
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 722
- 1,272
Mkuu hii thread nilifatilia sana ila mrejesho wake leo nimecheka sana,,, Kwaiy jamaa yupo songea anakula life tu au yupo mkoa ganiMREJESHO
Wakuu, nashukuru kwa ushirikiano wenu. Naweza kusema nimepata ndugu mjinga kuliko maelezo kumbe jamaa aliamua kufake kifo mwenyewe hakupata ajali wala nini. Alituma sms za ajali mwenyewe kukwepa majukumu ya familia yupo mkoa anaendelea na maisha ingawa amekata mawasiliano na familia.
Asanteni sana kwa msaada wenu.