Naomba kufahamishishwa kuhusu ajali iliyohusisha magari yanayoenda Songea

Mkuu hii thread nilifatilia sana ila mrejesho wake leo nimecheka sana,,, Kwaiy jamaa yupo songea anakula life tu au yupo mkoa gani
 
Mkuu hii thread nilifatilia sana ila mrejesho wake leo nimecheka sana,,, Kwaiy jamaa yupo songea anakula life tu au yupo mkoa gani
Haeleweki sana hakwenda songea, ni kama yupo mikoa ya kanda ya kati
 
Baadaye unaambiwa amefufuka,kumbe hakufa wala nini
 
Kumbe hata awamu ya sita bado vyuma vigumu kwa wengi?nilifikiri ni kwangu.
 
Kakimbia mke na watoto sio ?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…